Home / Uncategorized / News & Events / Michango ya Mashirika ya Kipapa ya Kanisa la Tanzania – 2019

Michango ya Mashirika ya Kipapa ya Kanisa la Tanzania – 2019

Wapendwa Taifa la Mungu. Tume ya Uinjilishaji ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (PMS) inapenda kuwashirikisha matokeo ya Michango ya Mashirika ya Kipapa toka Kanisa Katoliki Tanzania kwa Mwaka 2019. Aidha, tunapenda kuwashukuru mababa Askofu, mapadre, watawa, waamini walei, marafiki na  wote wenye mapenzi mema waliotoa ukarimu wao kwa ajili ya kuwezesha kazi za kimisionari za Baba Mtakatifu. Kwa vile kushukuru ni kuomba, tunaendelea kuwaalika kufanya majitoleo zaidi wakati wowote kupitia akaunti zinazoonekana katika taarifa hii.

Ili kuisoma taarifa hii, tafadhali bofya katika links zinazoonekana hapa chini.

MICHANGO YA PMS 2019 NA MAJINA YOTE

MICHANGO YA PMS 2019